Kisanggau

Kisanggau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasanggau kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kisanggau imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisanggau iko katika kundi la Kiland-Dayak.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search